Tangazo

October 10, 2014

JAJI WA TANZANIA MOVIE TALENTS (TMT) SINGLE MTAMBALIKE AFIWA NA BABA YAKE MZAZI


 Single Mtambalike 'Richie'. MSANII wa maigizo na filamu nchini Na aliyekuwa Jaji wa Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) Single Mtambalike maarufu kwa jina la Richie, amefiwa na baba yake mzazi Mzee Mtambalike usiku wa kuamkia leo, Msiba upo Tabata, Dar. Timu Nzima ya Tanzania Movie Talents (TMT) na Kampuni nzima ya Proin Promotions Limited inapenda kutoa pole kwa Rich na familia yake kwa kuondokewa na Mzazi wake. TMT na Proin Promotions inaunga nae katika Kipindi hiki kigumu 

No comments: