Tangazo

October 7, 2014

SOPHIA NYAGASHA AADHIMISHA SIKU YAKE YA KUZALIWA JIJINI DAR

Mwishoni mwa wiki iliyopita ilikuwa ni sherehe ya kuazimisha siku ya kuzaliwa Oktoba 4, 2014 kwa mwanadada Sophia Nyagasha ambaye ni mfanyakazi wa Airtel Tanzania (Kulia mwenye nguo nyeupe) ambapo hafla hiyo fupi iliweza kufana ndani ya Kiota cha Maraha cha High Spirit Lounge iliyopo jijini Dar.
Shangwe za marafiki katika hafla hiyo.
Wapendanao nao walikuwepo.
Ilikuwa ni furaha maana wafanyakazi wa Airtel Tanzania walipokutana pamoja kumpongeza mwenzao.
Shampeni ikigawiwa.
Ilikuwa ni shangwe kwa marafiki ambao waliungana nae.
Cheers!
Tunywe kwa afya...
Bibie Sophia Nyagasha akimtambulisha mchumba wake mbele ya marafiki.
Hapa alikuwa akiteta na mchumba wake.
Pongezi za mabusu.

No comments: