Tangazo

October 9, 2014

Ziara ya Kinana - Isimani mkoani Iringa

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na wananchi wa kata ya Ilolo mpya jimbo la Isimani mkoani Iringa.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisaidiana na Mbunge wa Jimbo la Isimani Mh.William Lukuvi kufyatua matofali ya ujenzi wa ofisi ya CCM ya Kata Kijiji cha Luganga kata ya Ilolo Mpya.
  Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiangalia daftari la wanachama wa shina namba sita kwa Balozi Changula Mlula.
   Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza Balozi Changula Mlula wa shina namba 6,Isimani .Katibu Mkuu amekuwa na utamaduni wa kutembelea Mabalozi kila anapofanya ziara zake.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akikagua jengo la zahanati ya kijiji cha Magozi
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki ujenzi wa nyumba mbili za walimu Kijiji cha Magozi kata ya Ilolo mpya.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki kupaka rangi bweni la shule ya sekondari Wiliam Lukuvi
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiongozana na Mbunge wa jimbo la isimani Mh.Wiliam Lukuvi
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza wakati waMkutano wa Jimbo la Isimani

 Viongozi wa CCM mkoa wa Iringa wakiongozwa na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa,Jesca Msambatavangu wakicheza kwa kudua ngoma maarufu Iringa.
 Mbunge wa Jimbo la Isimani Mh. Wiliam Lukuvi akicheza pamoja na wananchi wake kaba ya kuanza kwa mkutano wa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana.
 Msanii Nyamidela akiimba nyimbo za  kuisifia CCM na Katibu Mkuu wa Chama.
 Viongozi Meza Kuu wakifurahia burudani ya msanii Nyamidela

 Wananchi kijiji cha Magozi wakifuatilia mkutano wa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wananchi wa kijiji cha Magozi ambapo aliwataka viongozi wa serikali kujibu masuala mbali mbali yanayoletwa na wananchi kwa wakati.
 Mbunge wa Jimbo la Ismani Mh.Wiliam Lukuvi akimkabidhi kompyuta Mwalimu Mkuu wa Shule ya Sekondari Pawaga
 Mbunge wa Jimbo la Ismani Mh.Wiliam Lukuvi akimkabidhi kompyuta Mwalimu Mkuu Charles Mgimwa wa Shule ya Sekondari Wiliam Lukuvi
 Mbunge wa Jimbo la Isimani Mh. Wiliam Lukuvi akielezea utekelezaji wa miradi mbali mbali ya wananchi.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana  akiwahiutubia wananchi ambapo aliwaambia umefika wakati wa watu wa serikalini kujibu barua za watu kwa wakati.
  Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana  akiwahiutubia  wananchi wa kijiji
Mkuu wa Mkoa wa Iringa Dk.Christine Ishsengona akijibu baadhi ya maswali ya wananchi mbele ya Katibu Mkuu wa CCM.

No comments: