Tangazo

November 6, 2014

NBC YAMWAGA ZAWADI KWA WASHINDI WA PROMOSHENI YA WEKA UPEWE

Meneja wa Bidhaa za Kuwekeza na Wateja Wakubwa wa Benki ya NBC, Dorothea Mabonye (kulia), akikabidhi funguo ya bajaji kwa Dk. Nyagosya Range, aliyeibuka kidedea katika promosheni inayoendelea ya Weka Upewe ya benki hiyo. Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam leo.
Mmoja wa washindi wa promosheni ya Weka Upewe ya Benki ya NBC, Dk. Nyagosya Range (kushoto) akipokea kadi ya bajaji aliyojishindia kutoka kwa Meneja wa Bidhaa za Kuwekeza na Wateja Wakubwa wa benki hiyo, Dorothea Mabonye katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam leo.
Meneja wa Benki ya NBC Tawi la Muhimbili, Fatma Gulamsood (kulia) akikabidhi zawadi ya pikipiki kwa mmoja wa washindi wa promosheni ya Weka Upewe ya benki hiyo, Stella Kivuyo katika hafla ya mabidhiano iliyofanyika jijini Dar es Salaam leo.

No comments: