Rais Dkt.Jakaya
Mrisho Kikwete akitoka katika hospitali ya Johns Hopkins iliyopo Baltimore
Maryland baada ya kutolewa nyuzi katika mshono baada ya kufanyiwa upasuaji wiki
iliyopita.Rais Kikwete anatarajiwa kurudi tena hospitalini hapo Jumatatu kwa
ukaguzi wa maendeleo ya kidonda na ushauri. Kulia kwake ni Daktari wa Rais Prof. Mohamed Janabi
|
No comments:
Post a Comment