Tangazo

December 2, 2014

KINANA ALIPOKAGUA MAABARA YENYE UBORA WA NYOTA MBILI HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA MTWARA

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akitembelea maabara yenye ubora wa nyota 2 katika Hospitali ya Mkoa ya Rufaa ya Mtwara juzi.PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG
 Kinana akiendelea kupata maelezo kuhusu mashine zinazopima magonwa mbalimbali katika hospitali hiyo ya Mtwara
 Kifaa cha maabara chenye uwezo wa kupima Kifua Kikuu sugu
 Kinana akiakagua stoo ya kuhifadhia dawa mbalimbali katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mtwara juzi

No comments: