Tangazo

December 30, 2014

RAIS KIKWETE AHANI MSIBA WA SHEIKH ALI MZEE KOMORIAN, KARIAKOO JIJINI DAR

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiifariji familia ya Marehemu Sheikh Ali Mzee alipokwenda kuhani msiba huo jana Jumapili Desemba 29, 2014. Marehemu Sheikh Komorian alifariki juzi Jumamosi Desemba 28, 2014 na kuzikwa jana Jumapili Desemba 29, 2014.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akishiriki katika dua na familia ya Marehemu Sheikh Ali Mzee alipokwenda kuhani msiba huo jana Jumapili Desemba 29, 2014. Marehemu Sheikh Komorian alifariki juzi Jumamosi Desemba 28, 2014 na kuzikwa jana Jumapili
Desemba 29, 2014.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiifariji familia ya Marehemu Sheikh Ali Mzee alipokwenda kuhani msiba huo jana Jumapili Desemba 29, 2014. Marehemu Sheikh Komorian alifariki juzi Jumamosi Desemba 28, 2014 na kuzikwa jana Jumapili Desemba 29, 2014. PICHA NA IKULU

No comments: