Tangazo

December 4, 2014

TBL YAMKABIDHI KAMANDA MPINGA RIPOTI YA UPIMAJI AFYA ZA MADEREVA NCHINI

 Mkurugenzi wa Uhusiano na Sheria wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Stephen Kilindo,(kushoto), akimkabidhi Kamanda Polisi, Kikosi cha Usalama Barabarani, Kamishna Mohammed Mpinga. Ripoti ya Upimaji wa afya za madereva, wakati wa Wiki ya Nenda kwa Usalama barabarani iliyofanyika Novemba 22 hadi 28 katika vituo vya mikese, mkoaniMorogoro. Makabidhiano hayo yalifanyika Dar es Salaam juzi.
  Kamanda Polisi, Kikosi cha Usalama Barabarani, Kamishna Mohammed Mpinga. akitoa shukrani kwa TBL baada ya kukabidhiwa  Ripoti ya Upimaji wa afya za madereva,
 Mganga Mkuu wa Polisi akisoma ripoti hiyo.


No comments: