Mwenyekiti wa kamati ya maafa ya watu waliopatwa na janga la mvua ya mawe katika kata ya Mwakata ambae ni mkuu wa wilaya ya Kahama, Benson Mpesya wa katikati akipokea msaada wa vifaa vya ujenzi mabati 176 na mifuko ya saruji 130 vilivyotolewa na kampuni ya bia ya TBL kulia anayekabidhi ni meneja mauzo na usabazaji Godwin Zakaria na kushoto ni mjumbe wa kamati Patrick Kalangwa ambae ni mkurugenzi wa halmashauri ya Msalala lengo la msaada huo ni kuunga mkono ahadi ya Rais Jakaya Kikwete ya kuwajengea nyumba wahanga hao.

Mkuu wa wilaya ya Kahama Benson Mpesya kushoto ambae ni mwenyekiti wa maafa wa janga la mvua ya mawe lililowapata wananchi wa kata ya Mwakata wilayani Kahama akipokea msaada wa vifaa vya ujenzi mabati 176 na mifuko ya saruji 130 toka kampuni ya bia ya TBL , anayekabidhi kulia ni Meneja idara ya mauzo na usambazaji Godwin Zakaria na katikati ni Juma Akida ambae ni meneja mauzo kanda ya ziwa .
Wananchi wa kijiji cha Mwakata wilayani Kahama wakishusha msaada wa mabati yaliyotolewa na kampuni ya bia tanzania TBL kwa lengo la kuunga mkono ahadi ya Rais Jakaya Kikwete ya kuwajengea nyumba wahanga wa kata hiyo walioathiriwa na mvua ya mawe ambako kampuni hiyo imetoa mabati 176 na mifuko ya saruji 130 .
No comments:
Post a Comment