Waziri Mkuu wa Mstaafu na Mbunge wa
Monduli, Edward Lowassa na mkewe mama Regina Lowassa Julai 28.2015, wamejiunga
na Chama cha Demokrasia na maendeleo Chadema.
Mh. Edward
Lowassa akiwa katika hadhara ya mamia kujibu maswali katika Hoteli ya Bahari
Beach jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment