Tangazo

September 8, 2015

ZOEZI LA KUGAWA CHAKULA KATIKA KAMBI YA WAKIMBIZI YA NYARUGUSU MKOANI KIGOMA

Wakimbizi kutoka nchini Burundi wakiwa wamebeba shehena ya unga wa mahindi baada ya kugawiwa na Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia chakula (WFP), lililoweka kituo chake katika kambi ya wakimbizi ya Nyarugusu wilayani Kasulu mkoani Kigoma jana. PICHA/HISANI YA WIZARA YA MAMBO YA NDANI
Wakimbizi kutoka Burundi Byesige Josephat (anayemimina mafuta) na Hezron Mtangirwa (kushoto), wa kipima mafuta tayari kwa kuyagawa kwa wakimbizi wenzao baada ya kukabidhiwa na Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia chakula (WFP), lililoweka kituo chake katika kambi ya wakimbizi ya Nyarugusu wilayani Kasulu mkoani Kigoma jana. 

No comments: