Tangazo

November 12, 2015

MWENYEKITI WA CCM DKT JAKAYA KIKWETE AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM JIJINI DAR ES SALAAM LEO

Mwenyekiti wa CCM Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha Kamati Kuu ya CCM jijini Dar es Salaam ambacho kimehudhuriwa kwa mara ya kwanza na Rais wa Awamu ya Tano Dkt John Pombe Joseph Magufuli. PICHA: ISSA MICHUZI WA IKULU

No comments: