Tangazo

December 2, 2015

Chama cha Afya ya Jamii (TPHA) watembelea Hospitali ya Utafiti wa magonjwa na tiba

DSC_2982
Baadhi ya wanachama wa Chama cha Afya ya Jamii Tanzania ( Tanzania Health Public Association-TPHA) wakipata maelezo kutoka kwa mmoja wa maafisa wa Hospitali ya Utafiti wa magonjwa na Tiba ya "The Benjamin Mkapa Ultra modern Hospital" iliyopo ndani ya viunga vya Chuo kikuu cha Dodoma UDOM. Ziara hiyo imefanyika jana Desemba Mosi. (Picha zote na Andrew Chale, Modewjiblog).

[DODOMA] Chama cha Afya ya Jamii Tanzania ( Tanzania Health Public Association-TPHA) kipo katika mkutano wake mkuu wa 32 wa mwaka unaofanyika mjini hapa huku ukishirikisha wanachama mbalimbali kutoka 'Chapter' za mikoa zaidi ya 10 nchini.

Mkutano huo wa mwaka ulioanza Novemba 30 mwaka huu na kufunguliwa rasmi na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Bi. Chiku Gallawa na viongozi wengine mbalimbali wa mkoa huo umeweza kuwa wa matumaini kwa Serikali kwani imepongeza juhudi zinazofanywa na TPHA hapa nchini ikiwemo kuhakikisha wananchi wote wanapata afya na elimu sahihi ya tiba.

Siku ya pili ya Mkutano huo wa TPHA, Desemba Mosi, Wanachama wameweza kutembelea Hospitali ya Utafiti wa magonjwa na Tiba ya "The Benjamin Mkapa Ultra modern Hospital" iliyopo ndani ya viunga vya Chuo kikuu cha Dodoma (UDOM) na kujionea mambo mbalimbali hi ni kuhakikisha mambo ya msingi katika sekta ya afya yanafanikiwa kama ilivyo dira ya Chama hicho.

Aidha, mada mbalimbali za kitaalamu kuhusiana na masuala ya afya na kisayansi zaidi ya 10 zimeweza kuwasilishwa hiyo jana.
DSC_3084
Baadhi ya wanachama wa Chama cha Afya ya Jamii Tanzania ( Tanzania Health Public Association-TPHA) wakipata maelezo kutoka kwa Mkandarasi wa jengo hilo la Hospitali ya Utafiti wa magonjwa na Tiba ya "The Benjamin Mkapa Ultra modern Hospital" (aliyekunja mikono katikati).
DSC_3065
Baadhi ya wanachama wa Chama cha Afya ya Jamii Tanzania ( Tanzania Health Public Association-TPHA) wakiwa katika moja ya maeneo ya jengo hilo la Hospitali ya Utafiti wa magonjwa na Tiba ya "The Benjamin Mkapa Ultra modern Hospital" iliyopo ndani ya viunga vya Chuo kikuu cha Dodoma UDOM.
DSC_2939
DSC_2976
Baadhi ya wanachama wa Chama cha Afya ya Jamii Tanzania ( Tanzania Health Public Association-TPHA) wakiongozwa na mwenyeji wao (mwenye koti jeusi mbele) katika Hospitali ya Utafiti wa magonjwa na Tiba ya "The Benjamin Mkapa Ultra modern Hospital".
DSC_3037
DSC_3015
Baadhi ya wanachama wa Chama cha Afya ya Jamii Tanzania ( Tanzania Health Public Association-TPHA) wakiwa katika moja ya chumba cha maabara cha Hospitali ya Utafiti wa magonjwa na Tiba ya "The Benjamin Mkapa Ultra modern Hospital".
DSC_2996
Baadhi ya wanachama wa Chama cha Afya ya Jamii Tanzania ( Tanzania Health Public Association-TPHA) wakipata maelezo ya Hospitali ya Utafiti wa magonjwa na Tiba ya "The Benjamin Mkapa Ultra modern Hospital".
DSC_3082
DSC_2984
DSC_3088
DSC_3066
DSC_2951
DSC_2969
DSC_2976
DSC_2932
Wanachama wakipata picha ya ukumbusho wakati wa kutoka katika jengo hilo
DSC_2924
Administrator wa TPHA, Eric akipiga picha ya ukumbusho katika jengo hilo..

No comments: