Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akizungumza na Rais Mstaafu wa awamu ya Nne, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, wakati
walipokutana kwenye Mkutano wa Tano wa Wakuu wa Nchi za Afrika na China, wakati
wakitembelea Mabanda ya maonesho ya mkutano huo uliofanyika Jijini Johannesburg
Afrika ya Kusini jana Dec 4, 2015. ambapo Dkt. Jakaya Kikwete alihudhuria
mkutano huo kama Rais Mstaafu mwalikwa. Mkutano huo unamalizika leo . Picha Zote na OMR
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akifurahia
jambo na Rais Mstaafu wa awamu ya Nne, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete (katikati) na
Balozi wa China nchini Tanzania, Dkt. Lu Youqing (kushoto) wakati
walipokutana kwenye Mkutano wa Tano wa Wakuu wa Nchi za Afrika na China, walipokuwa
wakitembelea Mabanda ya maonesho ya mkutano huo uliofanyika Jijini Johannesburg
Afrika ya Kusini jana Dec 4, 2015. ambapo Dkt. Jakaya Kikwete alihudhuria
mkutano huo kama Rais Mstaafu mwalikwa. Mkutano huo unamalizika leo
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Samia
Suluhu Hassan, na Rais Mstaafu wa awamu ya Tano, Dkt. Jakaya Kikwete, wakiangalia
moja ya Ndege ya Kivita ya mfano, wakati walipotembelea Mabanda ya maonesho ya
Mkutano Mkuu wa Tano wa Wakuu wa Nchi za Afrika na China, uliofanyika Jijini
Johannesburg Afrika ya Kusini jana Dec 4, 2015. Dkt. Jakaya Kikwete alihudhuria
mkutano huo kama Rais Mstaafu mwalikwa. Mkutano huo unamalizika leo.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Samia Suluhu Hassan, akiongozana na Rais Mstaafu wa awamu ya Tano, Dkt. Jakaya Kikwete, Balozi wa China nchini Tanzania, Dkt. Lu Youqing, wakiangalia moja ya Ndege ya Kivita ya mfano, wakati walipotembelea Mabanda ya maonesho ya Mkutano Mkuu wa Tano wa Wakuu wa Nchi za Afrika na China, uliofanyika Jijini Johannesburg Afrika ya Kusini jana Dec 4, 2015. Dkt. Jakaya Kikwete alihudhuria mkutano huo kama Rais Mstaafu mwalikwa. Mkutano huo unamalizika leo.Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akisalimiana na Makamu wa Rais wa Sudan, Mhe. Bakri Hassan Salih, walipokutana
na kwenye mkutano wa mwisho wa Tano wa Wakuu wa Nchi za Afrika na China,
unaomalizika leo jijini Johannesburg Afrika ya Kusini, ambapo Makamu wa Rais
Mhe Samia Suluhu Hassan, pia alihutubia.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipitia
'Document' kabla ya kuhutubia katika Mkutano mkuu wa Tano wa Wakuu wa Nchi za
Afrika na China, unaomalizika leo jijini Johannesburg Afrika ya Kusini.Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipitia
'Document' kabla ya kuhutubia katika Mkutano mkuu wa Tano wa Wakuu wa Nchi za
Afrika na China, unaomalizika leo jijini Johannesburg Afrika ya Kusini.Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa
katika ukumbi wa mkutano wakati akijiandaa kuhutubia kwenye Mkutano mkuu wa
Tano wa Wakuu wa Nchi za Afrika na China, unaomalizika leo jijini Johannesburg
Afrika ya Kusini. Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza
na Katibu Mkuu wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Liberata
Rutageruka Mulamula, kabla ya kuhutubia katika Mkutano mkuu wa Tano wa Wakuu wa
Nchi za Afrika na China, unaomalizika leo jijini Johannesburg Afrika ya Kusini.
No comments:
Post a Comment