Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Mwantumu Mahiza akizungumza wakati alipofungua Mkutano wa Baraza la Wafanyakazi wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya leo kwenye ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Tanga. |
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa
Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya,Michael Mhando akisisitiza jambo
kwa wafanyakazi wa mfuko huo
wakati wa Mkutano
wa Baraza la Wafanyakazi wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya leo kwenye
ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Tanga kulia ni Mkuu wa Mkoa wa
Tanga,Mwantumu Mahiza na wa mwisho kulia ni Meneja wa NHIF Mkoa wa
Tanga,Ally Mwakababu.
MKURUGENZI wa
Huduma na Uendeshaji wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya ya Jamii
Tanzania, NHIF, Eugine Mikongoti wa kwanza kushoto akiimba nyimbo ya
solidarite na wafanyakazi wenzake wakati wa Mkutano
wa Baraza la Wafanyakazi wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya
uliofanyika leo mjini Tanga.
Baadhi ya wafanyakazi wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) wakifuatilia mambo mbalimbali wakati wa Mkutano wa Baraza la Wafanyakazi wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya uliofanyika leo mjini Tanga. |
Wafanyakazi wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF)wakiwa mkutanoni leo |
Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Mwantumu
Mahiza akiwa kwenye picha ya pamoja na wafanyakazi wa Mfuko wa Taifa wa
Bima ya Afya leo mara baada ya kufungua Mkutano wa Baraza la Wafanyakazi
kulia kwake ni Kaimu Mkuu Mkurugenzi wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya
(NHIF),Michael Mhando,Picha na Tanga Raha Blog
No comments:
Post a Comment