Tangazo

April 21, 2016

MIILI YA WATU WALIOZAMA BAHARI YA HINDI ENEO LA FERRY YAPATIKANA

 Mwili wa Dereva ambapo jina lake halikupatikana maramoja, ukiopolewa toka Bahari ya Hidi na waokoaji wa Kikozi cha Jeshi la Zimamoto na Uokoaji la Tanzania, wakishirikiana na vikosi kutoka Nevi, Bandari, Polisi Marini. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
  Mwili wa Dereva ambapo jina lake halikupatikana maramoja,ukiingizwa katika Gari
 Meya wa Jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita (kushoto) akisalimiana na Kamishna Msaidizi wa Jeshi la Polisi Lucas Mkondya (wapili kulia) mara alipofika katika eneo la tukio la kuzama watu wawili katika Bahari ya Hindi eneo la Ferry Magogoni Dar es Salaam leo
 Wananchi wakipita huku wakitaka kujua kinacho endelea eneo la tukio.

No comments: