Tangazo

April 14, 2016

Wafanyakazi wa Airtel watambulisha huduma ya Airtel Jipimie Yatosha Yako kwa wateja wake sokoni

Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel, Sunil Colaso (kushoto), akiongea na wateja wa Airtel mkoani Morogoro jana, kuhusu huduma mpya ya kifurushi cha Airtel Yatosha kijulikanacho kama “Jipimie Yatosha Yako” kitakachompatia uhuru mteja kutengeneza na kununua kifurushi kinachokidhi mahitaji yake.
Mkurugenzi wa Teknolojia ya Habari wa Airtel Tanzania, Frank Filman na Afisa Uhusiano wa Airtel, Jane Matinde, wakitoa elimu kwa wakazi wa Sinza Kijiweni jijini Dar es Salaam Aprili 13.2016, kuhusu huduma mpya ya kifurushi cha Airtel Yatosha kijulikanacho kama “Jipimie Yatosha Yako” kitakachompatia uhuru mteja kutengeneza na kununua kifurushi kinachokidhi mahitaji yake. 
Afisa Uhusiano wa Airtel, Jane Matinde (wa pili kulia), na Msaidizi Mtendaji wa Mkurugenzi Mkuu wa Airtel, Ellen Lupili wakitoa elimu kwa wakazi wa Sinza Kijiweni jijini Dar es Salaam Aprili 13.2016, kuhusu huduma mpya ya kifurushi cha Airtel Yatosha kijulikanacho kama “Jipimie Yatosha Yako” kitakachompatia uhuru mteja kutengeneza na kununua kifurushi kinachokidhi mahitaji yake.
Afisa Mauzo wa Airtel Tanzania, Anatory Lelo (kulia), akitoa elimu kwa wakazi wa Manzese Midizini jijini Dar es Salaam Aprili 13.2016, kuhusu huduma mpya ya kifurushi cha Airtel Yatosha kijulikanacho kama “Jipimie Yatosha Yako” kitakachompatia uhuru mteja kutengeneza na kununua kifurushi kinachokidhi mahitaji yake. 
Afisa Mauzo na Usambazaji wa Airtel Tanzania, Swaliatu Msuya (wa pili kushoto), akitoa elimu kwa wakazi wa Manzese Midizini jijini Dar es Salaam Aprili 13.2016, kuhusu huduma mpya ya kifurushi cha Airtel Yatosha kijulikanacho kama “Jipimie Yatosha Yako” kitakachompatia uhuru mteja kutengeneza na kununua kifurushi kinachokidhi mahitaji yake. 
Afisa Kitengo cha Manunuzi wa Airtel Tanzania, Alexander Mboya  (kushoto), na Afisa wa Huduma kwa Wateja, Michael Mnyabebe (kulia), wakitoa elimu kwa wakazi wa Manzese Midizini jijini Dar es Salaam Aprili 13.2016, kuhusu huduma mpya ya kifurushi cha Airtel Yatosha kijulikanacho kama “Jipimie Yatosha Yako” kitakachompatia uhuru mteja kutengeneza na kununua kifurushi kinachokidhi mahitaji yake. 
Afisa wa Huduma kwa Wateja, Michael Mnyabebe (kushoto), akitoa elimu kwa mkazi wa Manzese Midizini jijini Dar es Salaam Aprili 13.2016, kuhusu huduma mpya ya kifurushi cha Airtel Yatosha kijulikanacho kama “Jipimie Yatosha Yako” kitakachompatia uhuru mteja kutengeneza na kununua kifurushi kinachokidhi mahitaji yake. 
Timuya Wafanyakazi wa Airtel wakiwa katika picha ya pamoja wakijiandaa kuingia sokoni katika maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam Aprili 13.2016, kwa ajili ya kutoa elimu kwa wananchi kuhusu huduma mpya ya kifurushi cha Airtel Yatosha kijulikanacho kama “Jipimie Yatosha Yako” kitakachompatia uhuru mteja kutengeneza na kununua kifurushi kinachokidhi mahitaji yake.

xxxxxxxxxxxxxxxxxxxxKufatia uzinduzi wa huduma mpya ijulikanayo kama Airtel Jipimie Yatosha Yako kampuni ya simu za mkononi ya Airtel leo imewatembelea wateja wake katika maeneo mbalimbali jijini Dar es saalam na kuwafikishia huduma hii mahali pao pa kazi na makazi yao lengo likiwa ni kutoa elimu jinsi gani ya kujitengenezea vifurushi vinavyokidhi mahitaji yao.

Airtel Jipimie Yatosha Yako "ni moja ya kifurushi cha kibunifu zaidi kinachompatia mteja uhuru wa kujiunga na Airtel, kuchangua na kupanga matumizi yake kwa kuunda kifurushi kitakachokidhi mahitaji yake  kiuchumi na kijamii.

Akiongea kuhusu zoezi hilo Mkurugenzi wa technologia ya habari wa Airtel, Bwana Frank Filman alisema “ tumeona ni vyema kupeleka huduma hii kwa wateja wetu na kuwaelekeza ni jinsi gani sasa wanaweza wajitengenezea vifurushi vya yatosha vinavyokidhi mahitaji yao. Kupitia huduma hii yaAirtel Jipimie Yatosha Yako sasa tumewawezesha  wateja kununua kifurushi cha muda wa maongezi tu, au kuchanganya kifurushi cha muda wa maongezi na MB za intaneti au Muda wa Maongezi na SMS lakini pia bado wanaweza kupata vifurushi vyote yaani muda wa maongezi zaidi, SMS zaidi na MB zaidi.

Wakiongea kwa nyakati tofauti mkazi wa Sinza Kijiweni na Fundi rangi bwana Hamisi Chande alisema “ hii ni habari njema kwetu wateja kwamba sasa tunaweza kujitengenezea vifurushi tunavyotaka kwani itatupa fursa ya kupata zaidi, awali nilikuwa naweza kumnunuali ndugu yangu kufurushi na kupata hadi huduma ya intaneti wakati sumu yake haina huduma hii sasa kupigia huduma hii mpya tutafaidika zaidi na pia tutaweza kupanga vyema vifurushi kulingana na matumizi yetu. Nawapongeza sana Airtel kwa kuja na huduma hii ya kisasa na kutuletea elimu huku tuliko.”

Kujiunga na kifurushi cha Yatosha na kufurahia Jipimie Yatosha Yako, wateja wanatakiwa kupiga  namba *149*99# na kuchagua namba 5 ‘Jipimie Yatosha Yako’ na kutengeneza kifurushi cha chaguo lake.

No comments: