Tangazo

October 27, 2016

MADJZ WA LAKE FM KUDONDOSHA BURUDANI TAMU KWENYE USIKU WA MSHIKE MSHIKE JIJINI MWANZA LEO

Burudani ya Usiku wa Mshike Mshike inapigwa usiku wa leo alhamisi Oktoba 27,2016 kuanzia saa moja jioni. Atakuwepo Malikia wa Taarabu, Khadija Omar Kopa, pamoja na bendi yake ya Ogopa Kopa Classic na Fatina Khamis kutoka bendi ya Big Star.

Kabla ya saa tano usiku utalipa shilingi 7,000 tu na shilingia 10,000 baada ya saa tano usiku. Burudani kali itadondoshwa na #LakeFmDjz Mwanza kama matangazo yanavyoonesha.
Na BMG
Bonyeza HAPA Kujua Zaidi

No comments: