Watoto wanaolelewa katika kituo cha
KCVC wakiimba wimbo maalumu.
|
Afisa Mtendaji Mkuu wa Bayport
Tanzania, John Mbaga akiongea na wageni waalikwa katika hafla ya uzinduzi wa kituo cha
KCVC.
|
Mlezi kituo hicho mama Anna Mkapa akitoa hotuba kwa wageni waalikwa |
Mkuu wa wilaya ya Kibaha mh Asumta Mshama
akiongea na wageni waalikwa katika hafla ya uzinduzi wa kituo cha KCVC.
|
Viongoziwa Bayport wakiongeana Mama
Anna Mkapa.
|
No comments:
Post a Comment