Tangazo

February 6, 2017

MPOGOLO AWA GUMZO SHEREHE ZA CCM

Sherehe za kumbukizi ya maadhimisho ya miaka 40 kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi yanayoadhimishwa Kata ya Kimbiji. Mgeni rasmi akiwa Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara Comrade Rodrick Mpogolo.

Kulikuwa na michezo mbalimbali ya kusheheresha kama vile kukimbiza kuku, kunywa soda kwa haraka, kuvuta kamba na mpira wa miguu. Washindi walizawadiwa pesa, kuku na jezi.

CCM MPYA, TANZANIA MPYA!

Na Emmanuel J. Shilatu

No comments: