Tangazo

June 27, 2017

FUTARI YA WAFANYAKAZI WA AIRTEL ILIVYOFANA

Wafanyakazi katika Kitengo cha Mawasilino cha Airtel, wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya kufuturu . Kutoka (kushoto) ni Mkurugenzi wa Mawasiliano, Beatrice Singano, Afisa Uhusiano Jane Matinde, Meneja wa Huduma kwa Jamii  Hawa Bayumi na Afisa Uhusiano na Matukio, Dangio Kaniki.

Sheikh Hilal Kipoozeo akiongoza wafanyakazi wa Airtel pamoja na baadhi ya wageni kwenye futari.
Wafanyakazi mbalimbali wa Airtel Tanzania wakishiriki futari iliyoandaliwa na Uongozi wa kampuni hiyo, mwishoni mwa wiki iliyopita. 

No comments: