Tangazo

June 9, 2017

MAKAMU WA RAIS AFUNGUA MASHINDANO YA UMISSETA NA UMITASHUMTA NGAZI YA TAIFA

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan akipokea zawadi ya mpira kutoka kwa Afisa Masoko Msaidizi wa kampuni ya soda ya Coca Cola Bi. Pamela Lugenge  kama ishara ya kuendeleza michezo nchini na pia  kwa ajili ya kumsaidia kuendeleza mazoezi yake binafsi wakati wa ufunguzi wa mashindano ya 38 ya UMISSETA na ya 22 ya UMITASHUMTA ngazi ya Taifa kwenye uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan akihutubia wakati wa ufunguzi wa mashindano ya 38 ya UMISSETA na ya 22 ya UMITASHUMTA ngazi ya Taifa kwenye uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassanakirusha mpira kuashiria ufunguzi wa mashindano ya 38 ya UMISSETA na ya 22 ya UMITASHUMTA ngazi ya Taifa kwenye uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza.
Vijana wakionesha utayari wao wa kushiriki michezo wakati wa mashindano ya 38 ya UMISSETA na ya 22 ya UMITASHUMTA ngazi ya Taifa kwenye uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza. 

No comments: