Tangazo

August 2, 2017

TANZIAMbunge wa Hanang Bi. Mary Nagu anasikitika kutangaza kifo cha Mume wake mpendwa Profesa Joseph Tarmo Nagu kilichotokea 30/07/2017 katika Hospital ya Taifa Muhimbili (MNH) Dar es Salaam.


Mazishi yanatarajiwa kufanyika nyumbani kwao Endasak, Hanang siku ya Alhamis tarehe 03/08/2017 saa tano asubuhi. Habari ziwafikie ndugu, jamaa na marafiki wote waliopo Hanang, Morogoro, Dar es Salaam, Bababati na wote wanaomfahamu.

Kwa taarifa zaidi wasiliana na ndugu Malkias Mombo kwa simu namba: 0787241215 na 0757060107

No comments: