Tangazo

August 14, 2017

TIGO YANYAKUA USHINDI WA PILI KATIKA MAONESHO YA NANENANE

Makamu wa Rais mhe. Samia Saluhu akimkabidhi Meneja wa kanda ya Kusini wa Kampuni ya Tigo  Uthmaan Madati tuzo ya  ushindi wa pili kipengele cha mawasiliano kwenye maonesho ya nanenane yaliyomalizika hivi karibuni kitaifa mkoani Lindi

No comments: