Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Luhaga Mpina akisaini katika
kitabu cha wageni cha Wizara hiyo baada ya kuripoti.
|
Waziri Mpina akiongea na baadhi ya watumishi wa wizara hiyo. Katikati ni Naibu wake, Mhe. Abdalah Ulega na (kulia) ni Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Dk. Yohana
Budeba.
|
Sehemu ya watumishi wakimsikiliza Mhe. Mpina. |
Waziri Mpina, akimsikiliza Katibu Mkuu wa wizara hiyo (Mifugo), Dk. Maria Mashingo. |
No comments:
Post a Comment