Tangazo

May 7, 2018

KILA LA KHERI HALIMA BASHIR NKOROMO KATIKA KUFANYA MTIHANI WA KIDATO CHA SITA

Binti yangu, Halima Bashir Nkoromo, leo unafanya mtihani wa kumaliza kidato cha sita, bila shaka hatua hii itahusika katika kuandika ukurasa mwingine wa hatma ya baadae ya maisha yako. Naamini ulisoma vizuri, hivyo kilichobaki nakutakia kila la kheri, Mungu akujalie mawazo yako yawe katika chumba cha mtihani, uwe mtulivu, makini na usipanic fanya mtihani kama kitu cha kawaida. Utulivu wa kiakili ndiyo itakuwa ngao yako ya kwanza. Kila la Kheri.
Ndimi Bashir Nkoromo

No comments: