Tangazo

August 8, 2011

Komandoo Kalala na Bantu Group

Mwanamuziki wa Mkongwe wa Dansi wa Bendi ya Bantu Group, Hamza Kalala (kushoto) akilisakata gitaa la Bass wakati rapa wake, Maneno Mashine 'Shetani Mwekundu' akiimba sambamba na mashabiki kwenye Ukumbi wa Free Town Pub Manzese Uzuri Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.

No comments: