Tangazo

August 9, 2011

Mbunge Zitto Kabwe ajiunga na PPF

Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kaskazini, Mh. Zitto Kabwe (katikati) akijaza fomu ya kiunga na Mfumo wa  kuwekeza Amana wa Mfuko wa Pensheni (PPF) katika kilele cha Maonyesho ya Wakulima Nane Nane mjini Dodoma jana wakati alipotembelea banda la Wizara ya Fedha.Kushoto ni Meneja Uhusiano wa PPF, Lulu Mengele.
Mheshimiwa Zitto Kabwe akijadiliana jambo na Maofisa wa PPF.

No comments: