Tangazo

September 27, 2011

Hughes Dugilo wa ITV apata 'JIKO'

Mfanyakazi wa Kituo cha Televisheni cha ITV, Hughes Dugilo akiwa na mkewe Veronica Kibasa wakiingia kanisani tayari kwa kula kiapo, wakati walipofunga ndoa katika Kanisa la Anglikan Magomeni jijini Dar es Salaam Jumamosi Sept. 24.2011 na  kufuatiwa na tafrija ya 'kukata na shoka' katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini.
Bi Harusi Veronica Kibasa akijiandaa kuingia kanisani tayari kwa kula kiapo na Bwana Hughes Dugilo katika kanisa la Anglikan Magomeni jijini Dar es Salaam.
Bwana Hughes na Bibi Veronica wakifuatilia ibada ya ndoa iliyokuwa ikiendelea katika kanisa la Anglikan Magomeni jijini Dar es Salaam.

No comments: