Tangazo

March 26, 2012

TBL Media Bonanza 2012 yang'ara

KUTOKA KUSHOTO: Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo (TASWA), Juma Pinto, Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mzee Samwel Sitta, Mkurugenzi wa Mawasiliano wa kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Steven Kilindo na Mbunge wa Kahama, James Lembeli wakifuatilia kwa makini Bonanza la Vyombo vya Habari lililoandaliwa na Taswa na kudhaminiwa na TBL, katika Klabu ya Msasani Beach jijini Dar es Salaam Machi 24.12. Picha/John Badi

Mzee Sitta akizungumza na waandishi wa habari. Kulia ni Mwenyekiti wa Taswa,  Bw. Pinto.


Wanamuziki wa Bendi ya FM Academia 'Wazee wa Ngwasuma' wakilishambulia jukwaa katika Bonanza hilo. 

Waandishi wa habari nao hawakuwa nyuma.

Aaaaah...Usinipige picha... sitaki... sitaki...sitakiiiiii..............

No comments: