Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza katika kikao cha pamoja katika ya Serikali ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kilichofanyika jana Septemba 14, 2011 kwenye ukumbi wa Ofisi ya Waziri Mkuu jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Idd. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) |
No comments:
Post a Comment