Tangazo

October 20, 2011

Eng. Innocent na Rebeca Wameremeta

Wakiwa na nyuso za furaha Bwana Harusi Eng. Innocent na Mkewe Rebeca  wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kufunga ndoa yao katika Kanisa la Mtakatifu Salome Parokia ya Mbezi ikifuatiwa na sherehe ya kukata na shoka iliyofanyika katika Ukumbi wa Mbezi Beach Park jijini Dar es Salaam.

No comments: