Tangazo

October 26, 2011

FRANCIS MIYAYUSHO NA MBWANA MATUMLA WATAMBIANA 'KUZICHAPA' JUMAPILI


Bondia Fransic Miyayusho (kushoto) na Mbwana Matumla wakitunishiana misuri mbele ya waandishi wa habari wakati wa utambulisho wao wa mpambano wa kugombea ubingwa wa utakaofanyika Jumapili ijayo (katikati) ni Mratibu wa mpambano huo, Mohamedi Bawaziri.

Mratibu wa mpambano wa ngumi, Mohamedi Bawaziri  (katikati) akiwa na mkanda wa ubingwa utakaogombaniwa na mabondia Fadhili Majia (kushoto) na Juma Fundi siku ya Jumapili. (Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com)

No comments: