Tangazo

October 27, 2011

Matukio ya Mkutano wa Watanzania waishio Australia

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete (kulia) akipokea maua kutoka kwa Mweka Hazina wa Jumuia ya Watanzania waishio Australia, Maryam Powell walipokutana na wanajumuia  mjini Perth Australia Oktoba 26.11. Rais Jakaya Kikwete alikutana  na wanajumuia  kuzungumza mambo mbalimbali ya maendeleo na kijamii. Rais yupo nchini Australia kuhudhuria  mkutano wa wakuu wa nchi wanachama wa jumuia ya madola ( Commonwealth Heads of Government meeting- CHOGM 2011,utakaoanza Oktober 28-30,2011. PICHA ZOTE/MWANAKOMBO JUMAA WA MAELEZO

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete  akibadilishana mawazo na mwanajumuia wa Australia, Dk.Joseph Masika.

Mama Kikwete akisalimiana na wanajumuia.


Baadhi ya wanajumuia wanaoishi nchini Australia wakimsikiliza Rais Jakaya Kikwete (hayupo pichani).

Rais Jakaya Kikwete akizungumza na Mwenyekiti wa Watanzania waishio  Australia, Asimwe Kabunga katika mkutano huo.

Picha ya pamoja ya wanajumuia wa kike wanaoishi Australia pamoja na Mke wa Rais na Mama Salma Kikwete  baada ya kuamlizika mkutano wa Rais Kikwete na Watanzania wanaoishi Australia.

No comments: