Tangazo

October 27, 2011

MPIGIE GEOFREY MWAKIBETE KURA YA MPIGA PICHA BORA WA MITINDO

Wapenzi wadau na wasomaji wa napenda kuwafahamisha kuwa Geofrey Mwakibete wa MO BLOG  ambaye amebahatika kuchaguliwa kuwa miongoni mwa washiriki wa shindano la SWAHILI FASHION WEEK AWARDS  katika kundi la Wapiga picha bora wa Mitindo.

Bila nyinyi asingefanikiwa kupata nafasi hii hivyo tunaomba tuendelee kumpa sapoti na hamasa kwa kumpigia kura GEOFREY MWAKIBETE kupitia mtandao http://www.swahilifashionweekawards.blogspot.com
Asanteni kwa Ushirikiano wenu.

No comments: