Tangazo

October 21, 2011

NAPE NA TIMU YAKE 'WANG'ARA' UKEREWE

 Nape akivishwa skavu na Chipukizi wa CCM baada ya msafara wake kuwasili Kivuko cha Nansio Ukerewe jana kwa ajili ya ziara ya siku moja wilayani humo.
Mkuu wa wilaya ya Ukerewe, Queen Mlozi (kulia) akimpa taarifa ya utekelezaji wa Ilani ya CCM, Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi, Nape alipofika kwenye Ofisi ya CCM ya wilaya hiyo, jana. Wapili kushoto ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza,Clement Mabina.
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akiwasili kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika jana kwenye Uwanja wa Getrude Mongela wilayani Ukerewe.
 
Nape akipiga ngoma kuunga mkono kikundi kilichokuwa kikitumbuiza kwenye mkutano huo.
 
Nape akishiriki kupiga ngoma na kikundi cha sanaa cha Ukombozi wakati wa mkutano huo.
 
Msanii wa kundi la Utandawazi Matugacha, akionyesha umahiri wa kupiga ngoma kundi hilo lilipotumbuiza wakati wa mkutano huo wa CCM uliofanyika kwenye mjini Nansio, Ukerewe mkoani Mwanza.
 
Nape na Katibu wa Uchumi na Fedha, Mwigulu Nchemba wakishiriki kucheza ngoma na kundi la Utandawazi.
Katibu wa NEC, Uchumi na Fedha, Mwigulu Nchemba akihutubia mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye Uwanja wa Getrude Mongela, Nansio, Ukerewe.
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia mkutano wa hadhara wa CCM uliofanyika jana kwenye Uwanja wa Getrude Mongela mjini Nansio, Ukerewe mkoani Mwanza.
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia mkutano wa hadhara wa CCM uliofanyika jana kwenye Uwanja wa Getrude Mongela mjini Nansio, Ukerewe mkoani Mwanza.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye (wa pili kushoto) na viongozi wengine wakiangalia bwawa maalum la samaki, nyumbani kwa Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara), Pius Msekwa mjini Nansio wilayani Ukerewe mkoani Mwanza, jana. Kushoto ni Mbunge wa Mtera Livingstone Lusinde na( kulia) ni Katibu wa NEC Uchumi na Fedha, Mwigulu Nchemba na Mkuu wa Wilaya ya Ukerewe Queen Mlozi.
Nape na Mwiguku wakiwaaga wananchi wa Nansio kabla ya kuondoka leo katika mji huo kwa Mv Samar kwenye kivuko cha Nansio mwishoni mwa ziara ya siku moja wilayani Ukerewe.
 

No comments: