Tangazo

October 18, 2011

NGOMA ZA ASILI ZAMPAGAWISHA RAIS, DK. JAKAYA KIKWETE HUKO MPANDA

Rais Jakaya Kikwete  akiwapungia wasanii wa kikundi cha ngoma cha Mtapenda  cha Majimoto wilayani Mpanda kwenye uwanja  wa  ndege wa Mpanda kabla ya kuondoka kurejea Dar es Salaam leo Oktoba 18, 2011. Kulia ni Waziri Mkuu Mizengo Pinda na (watatu kulia) ni Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Mhandisi Stella Manyanya. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments: