Rais Kikwete Akagua Uzalishaji Umeme Bwawa La Kidatu
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikagua mitambo ya kuzalisha umeme katika bwawa la Kidatu,mkoani Morogoro jana. Kushoto ni Meneja wa TANESCO wa Mkoa na (kulia) ni Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera. (Picha na Freddy Maro).
No comments:
Post a Comment