Jenereta la Kituo cha Star Times kinachotoa huduma za ving'amuzi kilichopo ndani ya Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC), likiwa limeteketea kwa moto baada ya Transfoma kulipuka na kuunguza pia moja ya ofisi za kituo hicho kilichopo Mikocheni, Dar es Salaam jana. |
No comments:
Post a Comment