Tangazo

October 7, 2011

Waziri Mkuu Pinda atembelea Ubalozi wa Tanzania nchini Brazil

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na wanafamilia wa Maofisa wa Ubalozi wa Tanzania nchini Brazil wakati alipowasili kwenye makazi ya Balozi katika jiji la Brasila akiwa katika ziara ya kikazi nchini humo Oktoba 6,2011. Kulia ni Mkewe Tunu. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments: