Tangazo

October 3, 2011

SIKU MZEE BEN MKAPA ALIPOFUNGA KAMPENI ZA CCM IGUNGA

Mwenyekiti mstaafu wa CCM, Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa akituhubia maelfu ya watu katika mkutano wa kufunga kampeni za CCM za uchaguzi mdogo jimbo la Igunga, katika Uwanja wa Sokoni, Nkinga mkoani Tabora.

No comments: