Tangazo

October 3, 2011

TMCC YAWAKUTANISHA WADAU WA MAWASILIANO, UHUSIANO NA MASOKO

Meneja Masoko wa Kampuni ya Multchoice, Furaha Samalu (kulia) na Meneja Uhusiano wa kampuni hiyo, Barbara Kambogi (katikati) , wakijadiliana jambo na Meneja Masoko wa Kampuni ya magari ya CFAO, Alfred Minja wakati wa Mkutano wa kujadili changamoto za kiuchumi na nafasi ya mawasiliano katika masoko, ulioandaliwa na Tanzania Marketing Communicatiion Conference (TMCC), jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Ofisa Mipango wa Kampuni ya Aggrey & Cliford, Martin Hekeno akichangia mada katika mkutano huo.
Baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya Aggrey and Clifford na Multchoice, wakifuatilia mkutano wa kujadili changamoto za kiuchumi na nafasi ya mawasiliano katika masoko.
Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Aggrey and Clifford, Fredrick Njoka (kulia), akijadiliana jambo na Meneja Miradi wa Kampuni ya Simu za Mkononi ya Zantel, Deogratias Ringia (kushoto) na Meneja Mahusiano na Mawasiliano wa Cloud's FM wakati wa Mkutano huo.

No comments: