Mkurugenzi wa Tanzania One Theatre (TOT) John Komba aking'ang'aniwa kwa furaha na watu waliopata matokeo ya awali kuwa CCM imeshinda. |
Katibu wa NEC, Oganaizesheni, Asha Abdallah Juma (katikati) akishangilia pamoja na wana-CCM wengine katika hoteli ya The Peak mjini Igunga baada ya kupata matokeo ya awali usiku wa kuamkia leo. |
No comments:
Post a Comment