Mgeni rasmi Naibu Waziri wa Afya Dkt. Lucy Nkya akitoa hotuba ya kufunga maadhimisho hayo. |
Mgeni rasmi Mhe. Lucy Nkya (katikati) katika picha ya pamoja na Viongozi mbalimbali wa Wizara ya Afya na Serikali. |
Mgeni rasmi Mhe. Lucy Nkya (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Wafanyakazi wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii. |
Mmoja wa Wafanyakazi wa Chama cha Maalbino nchini akitoa maelekezo kwa Mhe. Naibu Waziri juu ya Dawa wanazotumia walemavu wa ngozi kwa ajili ya kujikinga na madhara ya mionzi ya jua. |
Mgeni rasmi na Ujumbe wake wakipata maelekezo kutoka kwa Sada Nabos Nachundu wa Nzasa W. Group wanaotengeneza bidhaa mbalimbali za lishe kwa kutumia unga wa zao la Mtama. |
Baadhi ya Viongozi wa Wizara na Serikali na wadau wa Sekta ya Afya nchini. |
No comments:
Post a Comment