Tangazo

October 31, 2011

Vodacom yawekeza 90,000,000/- kwa Shule 20 za Msingi za Mkoa wa Dar

Afisa Mkuu wa Masoko na Uhusiano wa Vodacom Tanzania, Mwamvita Makamba akikabidhi msaada wa madawati kwa Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Mwongozo, Elly Shuma kwa niaba ya walimu wenzake wa shule tano zilizonufaika na msaada huo wa madawati 225 yenye thamani ya zaidi ya Milioni 20/- kwa shule tano za Wilaya ya Kinondoni na Ilala jijini Dar es salaam. Jumla ya Madawati 1,000 yenye thamani ya Milion 90/- yametolewa msaada kwa shule 20 za Mkoa wa Dares Salaam mwaka huu.

No comments: