Tangazo

October 20, 2011

Waziri Mkuu Pinda katika Hifadhi ya Taifa ya Katavi

Waziri Mkuu, Mizengo PInda akitazama viboko waliosongamana kwenye tope baada ya mabwawa na mito kukauka kutokana na Kiangazi kwenye Hifadhi ya Taifa ya Katavi wilayani Mpanda Oktoba 20,2011.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akitazama tembo wakati aliposimama kwa muda kwenye Lodge ya Katuma Bush katika  Hifadhi ya Taifa ya Katavi wilayani Mpanda wakati  alipoitembelea kukagua athari za kiangazi  kwenye  Hifadhi hiyo Oktoba 20,2011.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments: