Taswira hii nilikutana nayo jana pale mitaa ya Handeni Mkoani Tanga wakati Mzee wa Mitikasi nilipoungana na wadau wengine tulipojivunia Utanzania kwa kupeperusha bendera ya taifa kuelekea mjini Moshi kwa ajili ya kuipandisha katika Mlima Kilimanjaro hayo ni mambo ya Kilimanjaro Premium lager katika kusherehekea miaka 50 ya Uhuru.PICHA/JOHN BADI WA DAILY MITIKASI BLOG |
No comments:
Post a Comment