Tangazo

November 14, 2011

Mkaguzi Mkuu wa Ndani wa Serikali afungua Mafunzo ya Wakaguzi wa Ndani

Mkaguzi Mkuu wa Ndani wa Serikali Mohamed Mtonga akifungua mafunzo ya wakaguzi wa ndani leo jijini Dar es salaam yenye lengo kuwajengea uwezo wa kufanya kazi zao kwa ufanisi ili waweze kuendana na viwango vinavyokubalika kitaifa na kimataifa. Mafunzo hayo yanaendeshwa kwa ushirikiano wa Japan na Serikali ya Tanzania.

Wakaguzi wa Ndani wakiwa katika picha ya pamoja na Mkaguzi Mkuu wa Ndani wa Serikali Mohamed Mtonga mara baada ya kufungua mafunzo ya wakaguzi wa ndani leo  jijini Dar es salaam yenye lengo kuwajengea uwezo wa kufanya kazi zao kwa ufanisi ili waweze kuendana na viwango vinavyokubalika kitaifa na kimataifa. Mafunzo hayo yanaendeshwa kwa ushirikiano wa Japan na Serikali ya Tanzania. Picha na Tiganya Vincent- MAELEZO- Dar es salaam.

No comments: