Tangazo

November 11, 2011

Rais Dk. Kikwete afunga Mkutano wa Kazi uliojadili Mpango wa Uwekezaji Katika Sekta ya Kilimo

Rais Dkt Jakaya Kikwete akifunga Mkutano wa Kazi (Business Meeting) uliojadili Mpango wa Uwekezaji Katika Sekta ya Kilimo ns kuhudhuriwa na wadau mbalimbali wa sekta hiyo wakiwemo mabalozi zaidi ya 15,  wawakilishi wa taasisi za kimataifa, mawaziri na viongozi serikalini pamoja na wadau wa sekta ya umma. Mkutano huu wa siku mbili umefanyika Ubungo Plaza jijini Dar.
Wadau wakimsikiliza Rais Dkt Jakaya Kikwete wakati akifunga Mkutano wa Kazi (Business Meeting) uliojadili Mpango wa Uwekezaji Katika Sekta ya Kilimo ns kuhudhuriwa na wadau mbalimbali wa sekta hiyo wakiwemo mabalozi na wawakilishi wa taasisi za kimataifa, mawaziri na viongozi serikalini pamoja na wadau wa sekta ya umma. Mkutano huu wa siku mbili umefanyika Ubungo Plaza jijini Dar.
Mabalozi wa nchi mbalimbali wakimshangilia Rais Dkt Jakaya Kikwete alipokuwa akifunga Mkutano wa Kazi (Business Meeting) uliojadili Mpango wa Uwekezaji Katika Sekta ya Kilimo ns kuhudhuriwa na wadau mbalimbali wa sekta hiyo wakiwemo mabalozi na wawakilishi wa taasisi za kimataifa, mawaziri na viongozi serikalini pamoja na wadau wa sekta ya umma. Mkutano huu wa siku mbili umefanyika Ubungo Plaza jijini Dar.
Rais Dkt Jakaya Kikwete akiongea na wadau wa maendeleo baada ya kufunga Mkutano wa Kazi (Business Meeting) uliojadili Mpango wa Uwekezaji Katika Sekta ya Kilimo ns kuhudhuriwa na wadau mbalimbali wa sekta hiyo wakiwemo mabalozi na wawakilishi wa taasisi za kimataifa, mawaziri na viongozi serikalini pamoja na wadau wa sekta ya umma. Mkutano huu wa siku mbili umefanyika Ubungo Plaza jijini Dar.
Rais Dkt Jakaya Kikwete akiwafafanulia wanahabari kuhusiana na Mkutano wa Kazi (Business Meeting) uliojadili Mpango wa Uwekezaji Katika Sekta ya Kilimo na kuhudhuriwa na wadau mbalimbali wa sekta hiyo wakiwemo mabalozi na wawakilishi wa taasisi za kimataifa, mawaziri na viongozi serikalini pamoja na wadau wa sekta ya umma. Mkutano huu wa siku mbili umefanyika Ubungo Plaza jijini Dar. PICHA/IKULU

No comments: