Tangazo

November 10, 2011

Warsha ya Rasimu ya Muongozo wa Kusimamia Mafuta ya Kupozea Mashine na Mitambo ya Viwanda

Baadhi ya Washiriki wa Warsha ya Rasimu ya Muongozo wa Kusimamia Mafuta ya Kupozea Mashine na Mitambo ya Viwanda [Polychlorinated Bipheny, PCB] inayofanyika kwenye Hoteli ya Bilinda jijini Dar es Salaam. PICHA/ALI MEJA

Washiriki wa Warsha ya RasimU ya Muongozo wa Kusimamia Mafuta ya Kupozea Mashine na Mitambo ya Viwanda [Polychlorinated Bipheny. PCB] wakiwa katika Picha ya pamoja mara baada ya ufunguzi wa Warsha huko kwenye Hoteli ya Bilinda Jijini Dar es Salaam. PICHA/ALI MEJA

No comments: